Qiraa ya Qur'ani
        
        Klipu ya qiraa ya usomaji mzuri na wenye mvuto wa Qur'ani Tukufu  Yasser Al-Dosri , mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Saudi Arabia na mmoja wa maimamu wa Masjid al-Haram (Msikiti Mtakatifu wa Makka) katika sala ya Alfajiri katika msikiti huu mtukufu, imevutia hisia za watumiaji wengi wa mtandao.
                Habari ID: 3477090               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/06/03