iqna

IQNA

Karbala ya Mwaka 1445
Shirika la Hija na la Iran limesema usajili kwa wale walio tayari kushiriki katika ziyara ya maombolezo ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imamu Huseini (as) ya mwaka huu nchini Iraq yataanza Jumapili.
Habari ID: 3479073    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470581    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/27