Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, iwapo taifa la Iran litajikita katika kuimarisha uwezo wa ndani ya nchi, basi Marekani na madola mengine makubwa hayawezi kuthubutu kufanya chochote dhidi ya nchi hii.
Habari ID: 1406967 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/14
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja makundi ya kitakfiri kuwa ni hatari kwa Waislamu wote, wawe Waislamu wa Kishia au Waislamu wa Kisuni.
Habari ID: 1406467 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ni upumbavu wa mwisho wa adui kudhani kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itawekea mipaka na kikomo mipango yake ya makombora.
Habari ID: 1406354 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwaenzi na kuwaheshimu wafanyakazi na wale wote wanaohusika katika uga wa uzalishaji ni dharura ambayo imesisitizwa na Uislamu.
Habari ID: 1401876 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambi rambi kufuatia kifo cha mjumbe wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi na Imam wa Sala ya Ijumaa wa Jamii ya Masunni katika mji Sanandaj magharibi mwa Iran.
Habari ID: 1399942 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/26
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuuletea madhara mshikamano na kuzusha mizozo baina ya Waislamu wa Kishia na Kisunni ni moja ya vithibitisho vya kukufuru neema za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 1397724 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/20
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwepo idadi kubwa ya wanawake wenye vipaji, wasomi, wenye fikra nzuri na wateule katika Iran ya Kiislamu ni miongoni mwa neema za Mwenyezi Mungu na mojawapo ya fahari kubwa zaidi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1397288 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema shughuli za ustawi na utafiti wa nyuklia Iran kamwe hazitasimamishwa.
Habari ID: 1392769 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matukio ya ulimwengu yanakwenda kinyume na matakwa ya Marekani.
Habari ID: 1389136 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/21
Ujumbe wa Nairuzi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa wananchi wa Iran kwa mnasaba wa kuingia mwaka mpya wa 1393 Hijria Shamsia na kuuita mwaka huo kwa jina la mwaka wa "Uchumi na Utamaduni wenye Azma ya Kitaifa na Uongozi wa Kijihadi."
Habari ID: 1389135 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/21
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei Jumatatu alihutubia maelfu ya wananchi wa miji mbalimbali ya mkoa wa Azarbayjan Mashariki waliokwenda kuonana naye akilishukuru taifa la Iran kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) ya kuadhimisha miaka 35 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
Habari ID: 1376766 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/18