Polisi nchini Canada wamesema kuwa, moto ulioteketeza msikiti mmoja katika mji wa Peterborough mkoani Ontario ulitokana na kuwashwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3453396 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/16
Idadi kubwa ya Waislamu na hata wasiokuwa Waislamu nchini Canada wameendelea kuvutiwa sana na filamu ya Mtume Muhammad SAW iliyotengenezwa nchini Iran.
Habari ID: 3357607 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/03