IQNA – Mwanamke Muislamu alishambuliwa kwa ukatili mahali pake pa kazi huko Oshawa, Ontario, Canada katika tukio ambalo viongozi wa jamii wanaitaka polisi kulichunguza kama jinai ya chuki.
Habari ID: 3480893 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/04
Diplomasia
IQNA-Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Canada (Kanada) ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC ) kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" ni zawadi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, magaidi na maadui wengine wa amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3478994 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/21
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Canada (NCCM) limeripoti kuongezeka kwa 1300% kwa matukio ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi hiyo ya Amerika Kaskazini kufuatia kuanza kwa mauaji ya kimbari ya Isarel dhidi ya Wapalestina huko huko Gaza.
Habari ID: 3478943 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07
Chuki dhidi ya Waislamu
IQNA-Nchini Kanada mtu mwenye misimamo mikali kuwa wazungu ndio watu bora zaidi duniani aliyewaua watu wanne wa familia ya Kiislamu amepatikana na hatia ya ugaidi.
Habari ID: 3478399 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23
Chuki dhidi ya Uislamu
OTTAWA (IQNA) - Mwanaharakati wa Kiislamu wa Kanada (Canada) alielezea kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu na ukandamizaji Waislamu nchini humo katika wiki za hivi karibuni kuwa haujawahi kutokea.
Habari ID: 3477894 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15
TORONTO (IQNA) – Mwanamke Mwislamu anayevaa hijabu aliteuliwa na meya mpya aliyechaguliwa wa Toronto, Kanada Oliva Chow kama Naibu Meya wa eneo la kusini mwa jiji.
Habari ID: 3477427 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Biashara wa Kanada, Mary Ng amelaani shambulio la chuki dhidi ya Uislamu lililolenga msikiti mmoja eneo la Markham, Ontario wakati mtu mmoja alipovunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu na kujaribu kuwashambulia waumini kwa gari.
Habari ID: 3476842 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/10
Waislamu wa Kanada
TEHRAN (IQNA) - Wanachama wa Taasisi ya Misaada ya Kiislamu Kanada wametayarisha mamia ya vifurishi vya misaada maalumu ya majira ya baridi kali kwa ajili ya watu wasio na makazi wa Metro Vancouver siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476267 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/18
Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Kanada (NCCM) limeashiria kisa cha hujuma dhidi ya msikiti wa eneo la Toronto kama ishara ya "kuongezeka kwa kutisha kwa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)".
Habari ID: 3475963 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21
Wamagharibi na ugaidi
TEHRAN (IQNA)- Mwandishi wa kitabu kilichochapishwa hivi karibuni amefichua jukumu la idara ya kijasusi ya Kanada (Canada) katika kutuma wasichana kwenda kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh au ISIS na kusisitiza kuwa serikali ya Uingereza ilijua jukumu la Kanada katika kashfaa hii lakini ikajizuia kuifichua.
Habari ID: 3475710 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31
Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) – Mji wa Gander katikati mwa jimbo la Newfoundland na Labrador nchini Kanada (Canada) unafanya kazi na jumuiya yake ya Waislamu wa eneo hilo kuanzisha msikiti wake wa kwanza ili kuwashawishi madaktari Waislamu wasihame eneo hilo.
Habari ID: 3475643 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wengi wameuawa katika mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Canada (Kanada) kuliko nchi nyingine yoyote ya kundi la G-7 kati ya 2017-2021.
Habari ID: 3475591 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07
Waislamu Canada
TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya sanaa ya Kiislamu yalizinduliwa mapema wiki hii huko Saanich, Victoria nchini Canada.
Habari ID: 3475560 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/30
Jinai za Kanisa
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Kanada (Canada) na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
Habari ID: 3475545 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Sikukuu ya Idul Adha
TEHRAN (IQNA) - Waislamu katika mji mkuu wa Canada, Ottawa, wamekuwa wamekusanyika kusherehekea Idul Adha ana kwa ana mwaka huu – haya yakiwa ni mabadiliko makubwa baada ya miaka miwili ya vikwazo vya COVID-19.
Habari ID: 3475488 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya kipekee kwa ajili ya wanaotaka mtindo wa kimaisha ambao ni ‘Halal’ katika eneo la Amerika Kaskazini yanafanyika wiki hii nchini Canada kwa lengo la kuwaunganisha watenda na mashirika yanayojishughuisha na bidhaa na huduma Halal.
Habari ID: 3475233 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/10
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa mji wa Winnipeg, mji mkuu wa jimbo la Manitoba Canada wamechanga pesa kwa ajili ya kuwasiadia Wayemen wanateseka kutokana na vita.
Habari ID: 3475110 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/10
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimepongeza uamuzi wa serikali ya Canada kutangaza siku maalumu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474879 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/01
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amempongeza mwenzake wa Canada kutokana na hatua yake ya kulaani chuki dhidi ya Uislamu yaani Islamophobia huku akitaka kuwepo jitihada maalumu za kukabiliana na tatizo hilo.
Habari ID: 3474868 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/30
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al Rashid huko Edmonton nchini Canada sasa unatumika kama makazi ya usiku kwa watu masikini wasio na nyumba katika kipindi hiki cha msimu wa baridi kali.
Habari ID: 3474751 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01