iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Polisi nchini Canada imemkamata mtu mmoja Jumatatu baada ya mzoga kutupwa nje ya msikiti katika eneo la Vaudreuil-Dorion hivi karibuni.
Habari ID: 3474674    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya sheria ya jimbo la Quebec ambayo imepelekea mwalimu mmoja Muislamu ahamishwe kazi kwa sababu tu alikuwa amevaa Hijabu.
Habari ID: 3474665    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/11

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa jamii ya Wauyghur Waturuki wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada wamenunua jengo la kale ambalo lilikuwa Kanisa na kuligeuza kuwa Msikiti.
Habari ID: 3474344    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26

Wenyeji asili wa Canada
TEHRAN (IQNA)- Wenyeji asili wa Canada wanasisitiza kuwa Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki anapaswa kuomba radhi kufuatia ugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wa canada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki nchini humo.
Habari ID: 3474340    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25

TEHRAN (IQNA)- Wizi katika msikiti huko Calgary nchini Canada umepelekea waumini waingiwe na hofu na wasiwasi mkubwa.
Habari ID: 3474290    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13

TEHRAN (IQNA)-Wanachama wa Kituo cha Kiislamu cha Langley huko Langley, British Columbia nchini Canada, "wameshtuka" na "wamekata tamaa" baada ya kupokea barua ya vitisho na ya kibaguzi.
Habari ID: 3474254    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03

TEHRAN (IQNA)- Mtetezi wa Watumiaji (Ombudsman) katika Shirika la Mapato la Canada (CRA) atazindua uchunguzi baada ya Waislamu na mashirika mengine madogo kuwasilisha malalamiko juu ya kulengwa vibaya kwa ukaguzi.
Habari ID: 3474175    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/09

TEHRAN (IQNA)- Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wa canada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.
Habari ID: 3474047    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27

TEHRAN (IQNA) - Mameya wa miji miwili ya Canada ambayo imeshuhudiwa hujuma dhidi ya Waislamu wamemtumia barua waziri mkuu Justin Trudeau wakitaka kuitishwe kikao cha kujadili chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474044    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/26

TEHRAN (IQNA)- Raia wa Canada aliiyeua Waislamu wanne wa familia moja kwa sababu tu ya dini yao amesomewa tuhuma za muaji ya daraja la kwanza na kufanya ugaidi.
Habari ID: 3474008    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/15

TEHRAN (IQNA)- Mamia ya waombolezaji walikusanyika Jumanne usiku katika mtaa wa London, mjini Ontario Canada kuwaomboleza Waislamu wanne waliuawa katika tukio la chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473995    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/10

TEHRAN (IQNA)- Maombolezo yanafanyika baada ya dereva mmoja mwenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Canada kuua watu wanne wa familia moja na kujeruhi mwingine vibaya, baada ya kuwagonga kwa makusudi na lori lake katika mkoa wa Ontario.
Habari ID: 3473988    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08

TEHRAN (IQNA)-Jengo la Kanisa la St. James Presbyterian mjini Ontario nchini Canada limebadilishwa na kuwa msikiti baada ya kununuliwa na Waislamu.
Habari ID: 3473674    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/22

TEHRAN (IQNA)- Wanawake wawili Waislamu waliokuwa wamevaa hijabu walihujumiwa sehemu mbili tafauti Jumatano mjini Edmonton Canada.
Habari ID: 3473628    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Jumanne amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri na kumteua Mwislamu wa tatu katika baraza hilo.
Habari ID: 3473554    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/13

TEHRAN (IQNA)- Mtu ambaye alipatikana na hatia ya kuuhujumu msikiti na kuua Waislamu sita katika mkoa wa Quebec nchini Canada mwaka 2017 sasa anaweza kuwasilisha ombi la kuachiliwa huru baada ya miaka 25 gerezani.
Habari ID: 3473398    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/27

TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amesema chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) pamoja na misimamo mikali ya mrengo ya kulia ni itikadi ambazo hazina nafasi yoyote katika jamii ya Canada.
Habari ID: 3473260    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/14

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Canada wamepata fursa ya kusikia adhana misikitini kupitia vipaza sauti kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya nchi hiyo ya Amerika Kaskazini.
Habari ID: 3472720    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/01

TEHRAN (IQNA) – 'Wiki ya Kuujua Uislamu' imezinduliwa katika mji wa Montreal nchini Canada ambapo washiriki wametafakari kuhusu tukio ambalo lillijiri katika Msikiti wa Mji wa Quebec miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3472404    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/25

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Quebec Canada unaendelea kukarabatiwa ili kuwawezesha Waislamu wa mji huo kupata eneo salama la ibada.
Habari ID: 3472376    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/16