iqna

IQNA

Janga la virusi vya COVID-19
TEHRAN (IQNA)-Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatazamiwa kuanza wiki ijayo na Wailsamu takribani milioni moja Uholanzi watajiunga na wenzao duniani katika kufunga Saumu.
Habari ID: 3473799    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/10

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja umehujumiwa katika mji wa Amsterdam nchini Uholanzi. Kwa mujibu wa taarifa gaidi aliyekuwa amevaa barakoa aliurushia mawe Msikiti wa Hagia Sophia mjini Amsterdam.
Habari ID: 3473466    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji wa Zaandam kaskazini magharibi mwa Indonesia umehujumiwa katika jinai ambayo imetajwa kuwa ya wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473350    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11

TEHRAN (IQNA) –Mamia ya watu wameshiriki katika maandamano mjini Amsterdam Uholanzi Jumapili na kutangaza kuunga mkono Wapalestina huku wakipinga mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel kupora ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472865    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/15

TEHRAN (IQNA)- Aidhana ilisikika kupitia vipaza sauti siku ya Ijumaa katika zaidi ya misikiti 100 ya Ujerumani na Uholanzi ikiwa ni hatua iliyotajwa ni ya mshikamano katika vita dhidi ya ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472633    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/04

TEHRAN (IQNA) – Kwa mara ya kwanza katika Msikiti wa Blauwe huko Amsterdam Uholanzi, kumeadhiniwa wakati wa Sala ya Ijumma kwa kutumia vipaza sauti.
Habari ID: 3472205    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/08

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mpya uliopewa jina la Masjid Tawheed umefunguliwa mapema wiki hii katika mji wa Venlo, kusini mashariki mwa Uholanzi.
Habari ID: 3472012    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/23

Baada ya kufanya utafiti
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa wa mrengo wa kulia na mbunge wa zamani UholanzI, Joram van Klaveren aliyekuwa na chuki kubwa dhidi ya Uislamu ameibua gumzo nchini humo baada ya kutangaza kubadilisha msimamo wake na kusilimu.
Habari ID: 3471832    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/06

TEHRAN (IQNA)-Watu wasiojulikana wameuhujumu na kuharibu msikiti katika mji wa The Hague nchini Uholanzi.
Habari ID: 3471380    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/04

TEHRAN (IQNA)-Msikiti ambao ungali unajengwakusini mashariki mwa Uholanzi umeshambuliwa na watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471155    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

IQNA:Matokeo ya uchaguzi wa bunge Uholanzi yanaonyesha mwanasiasa mwenye misimamo mikali na chuki dhidi ya Uislamu amepata pigo.
Habari ID: 3470898    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16

IQNA: Kufuata hofu za hujuma za wenye chuki dhidi ya Uislamu, misikiti minne mikubwa nchini Uholanzi itafungwa wakati wa sala baada ya Waislamu sita kuuawa Canada walipokuwa wakiswali msikitini.
Habari ID: 3470828    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01

IQNA-Mbunge mwenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Uholanzi amepatikana na hatia ya kuwatusi watu wenye asili ya Morocco na kuwabagua.
Habari ID: 3470728    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/09

Imebainika kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ulikuwa umepanga kumuua Kiongozi wa Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah katika Siku ya Ashura, Novemba 4.
Habari ID: 1473222    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15