IQNA – Marehemu Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi alikuwa miongoni mwa magwiji wa usomaji wa Qur’ani nchini Misri, akijulikana kwa unyenyekevu wake katika tilawa, uzuri wa makam na sauti yenye utulivu na mvuto wa kiroho.
Habari ID: 3481657 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/14
IQNA-Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 80.
Habari ID: 3470733 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10