iqna

IQNA

isesco
Jinai za Israel
RABAT (IQNA) - Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (ISESCO) limetoa tamko kali siku ya likilaani mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya shule mbili kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuwa ni "fedheha kwa ubinadamu" na "uhalifu wa kutisha".
Habari ID: 3477917    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/20

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
RABAT (IQNA) - Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni Duniani (ISESCO) lilianzisha kampeni yenye lengo la kukabiliana na dhulma za Qur'ani katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3477498    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/26

Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Iran imeteua msikiti wake wa Tarikhaneh, ambao ulijengwa takriban miaka 900, kwa ajili ya kuwekwa katika orodha turathi ya Jumuiya ya Kiislamu ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (ICESCO).
Habari ID: 3477385    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/05

Taarifa ya ISESCO
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Nchi za Kiislamu la Utamaduni, Elimu na Sayansi (ICESCO) lilitangaza kurefushwa muda wa Maonyesho ya Kimataifa ya Seerah ya Mtume Muhammad SAW na Ustaarabu wa Kiisilamu katika makao makuu yake huko Rabat, Moroko, kwa miezi mingine sita.
Habari ID: 3476929    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/28

Iran na Mauritani
TEHRAN (IQNA)- Rais Mohamed Ould Ghazouani wa Mauritania amepongeza misimamo thabiti na ya kimsingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na masuala ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476374    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Ustaarabu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Rabat mji mkuu wa Morocco unaandaa maonyesho ya ‘Sarafu na nyaraka za kale za Kiislamu’ pembezoni mwa kikao cha 43 cha Baraza la Utendaji la Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Kiislamu (ISESCO).
Habari ID: 3476298    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24

Uislamu na Elimu
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) – Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni Duniani (ISESCO) linapanga kuanzisha mfuko kwa ajili ya kusaidia wasomi na watu mahiri katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476288    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22

TEHRAN (IQNA) - Shirika la Kiislamu la Elimu Sayansi na Utamaduni (ISESCO) limetangaza kuwa linaendesha shughuli 50 za Qur'ani Tukufu kila mwaka.
Habari ID: 3472225    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/21

Katika Mkutano wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu Morocco
IQNA:Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
Habari ID: 3470852    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/16

IQNA:Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni (ISESCO) amesizitiza nafasi ya mji mtakatifu wa Mashhad katika ustawi wa utamaduni wa mwanadamu.
Habari ID: 3470813    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26

IQNA-Mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran umezinduliwa rasmi kama Mji Mkuu wa Utamaduni katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470781    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO) limelaani vikali hujuma ya kigaidi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa katika majlisi ya maombolezo ya siku 10 za Muharram nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3388672    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/18

Jumuiya ya Kiutamaduni, Kisayansi na Kielimu ya Nchi za Kiislamu ISESCO imetoa taarifa na kulaani vikali mlipuko wa jana katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara.
Habari ID: 3384025    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/11

Mkutano wa 10 wa wakuu wa Vituo vya Kiutamaduni na Jumuiya za Kiislamu Amerika ya Latini na Caribbean wanatazamiwa kukutana Buenos Aires, mji mkuu wa Argentina.
Habari ID: 3363351    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/16