iqna

IQNA

IQNA- Sheria mpya imetangaza Idul Adha na Idul Fitr kuwa sikukuu rasmi katika jimbo la Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3480522    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11

Mashambulizi ya Misikiti
Kituo cha Kiislamu cha Eastside huko Bellevue, Washington, kimefungua tena milango yake miaka saba baada ya kulengwa na watu waliokichoma moto.
Habari ID: 3479161    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/21

Mauaji ya Kimbari huko Gaza
Waandamanaji huko Washington, DC, wamelaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479015    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26

IQNA - Wanafunzi wengi katika Chuo Kikuu cha Washington (UW) huko Seattle nchini Marekani wameandamana kupinga ubaguzi na chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3478600    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

IQNA: Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuteketeza moto msikiti katika mji wa Bellevue, jimboni Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3470797    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/15

Baraza Kuu la Waislamu nchini Uingereza limelaani ukatili wa kundi la kigaidi la Daesh na kusisitiza kuwa, kundi hilo halina mfungamano wowote na dini Tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 1441922    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/23