Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataka mataifa ya Waislamu kuungana na kusimama imara kukabiliana na siasa za chuki za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471749 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/24
Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani amesema: Siku ya Quds ni siku ya kihistoria ya kupaza mayowe dhidi ya madhalimu na kulihami taifa linalodhulumiwa ambalo kwa muda wote wa miaka 70, watu wake wamehamishwa kidhulma kwenye nyumba na makazi yao.
Habari ID: 3471546 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/07
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamewatumia Waislamu na viongozi wa nchi za Kiislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471516 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/17
Rais wa Iran atuma ujumbe kwa munasaba wa kuadhimisha kuzaliwa Nabii Isa AS na kusema
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani amemtumia salamu viongozi wa mataifa ya dunia na kuwapa mkono wa pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha kuzaliwa mtume wa rehma na saada Nabii Isa Masih AS na vilevile kwa kukaribia kuanza mwaka mpya wa 2018 miladia.
Habari ID: 3471323 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/25
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran iko tayari kushirikiana na nchi za Kiislamu bila ya masharti yoyote kwa ajili ya kuitetea Quds tukufu na kusema adui mkubwa wa Wayahudi si Waislamu wala Waarabu bali ni mradi hatari sana wa Wazayuni.
Habari ID: 3471309 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/14
Katika Hotuba Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehutubu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuitahadharisha Marekani kuhusu hatua yoyote ya kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran.
Habari ID: 3471185 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/21
Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ni ya kusikitisha huku akisisitiza udharura wa kuishinikiza serikali ya Myanmar ili isitishe mauaji ya kimbari na ukandamizaji dhidi ya Waislamu Warohingya.
Habari ID: 3471184 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/20
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kusaidiwa Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuuawa kwa umati nchini Myanmar.
Habari ID: 3471163 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/08
TEHRAN (IQNA)-Hassan Rouhani jioni ya leo amekula kiapo cha kuwa rais wa 7 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kipindi kingine cha miaka minne kwa kuahidi mbele ya Qur'ani tukufu kwamba atalinda Uislamu, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na Katiba ya nchi.
Habari ID: 3471106 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05
TEHRAN (IQNA)-Sherehe ya kuidhinisha kura za wananchi kwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu zimefanyika leo hapa Tehran kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kumuidhinisha Hassan Rouhani kuwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471101 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/03
Rais Hassan Rouhani wa Iran
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina ndiyo kadhia muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel ni utawala pandikizi, mzaliwa wa Magharibi unaovunja haki za binadamu.
Habari ID: 3470865 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22
Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawajaondoka katika njia na harakati ya kuyaunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu na kutimiza malengo ya Imam Ruhullah Khomeini na Kiongozi wa sasa wa Mapinduzi, Ayatullah Ali Khamenei.
Habari ID: 3470842 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/10
IQNA: Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu daima katika kipindi chote cha histroia yake imekuwa ni yenye kufuatilia suala la kuweko amani na urafiki.
Habari ID: 3470818 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29