iqna

IQNA

kubaathiwa
Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu tukio chungu na la kuhuzunisha la Gaza na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni, na akasema: “masaibu ya Gaza ni masaibu ya wanadamu na yanaonyesha kuwa utaratibu wa sasa wa ulimwengu ni wa batili tupu, usioweza kudumu na utatoweka tu.
Habari ID: 3478321    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/08

Mtazamo
IQNA-Alhamisi tarehe 27 Rajab 1445 Hijria sawa na Februari 8 mwaka 2024 Miladia inasadifiana na siku ya Kubaathiwa Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu na ya kipekee katika Uislamu.
Habari ID: 3478319    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Kongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezikosoa nchi za Kiislamu kwa kutochokua hatua yoyote ya maana juu ya kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3476581    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Duru ya awali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itafanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3475736    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05

TEHRAN (IQNA)- Tarehe 27 Rajab ndiyo siku aliyobaathiwa na kupewa utume Nabii Muhammad bin Abdullah SAW kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu katika njia iliyonyooka. Mtukufu huyo wa daraja alikuwa anapitisha mwaka wa arubaini wa umri wake uliojaa baraka na katika miaka yote hiyo watu walikuwa wakimpongeza kwa ubora wa tabia na uaminifu wake.
Habari ID: 3474988    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/28

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, sikukuu kubwa ya Mab’ath na kumbukumbu ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW ni ya wapigania uadilifu kote ulimwenguni.
Habari ID: 3473726    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/11

TEHRAN (IQNA) – Siku kama ya leo miaka 1455 iliyopita, Mtume Mtukufu Muhammad al- Mustafa SAW alibaathiwa yaani kupewa Utume na Mwenyezi Mungu. Kipindi hicho Mtume Muhammad- Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu yake na Kizazi Chake Kitoharifu- (SAW) alikuwa na umri wa miaka 40.
Habari ID: 3473725    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/11

TEHRAN (IQNA)- Leo, tarehe 27 Rajab ndiyo siku aliyobaathiwa na kupewa Utume Muhammad Al Mustafa SAW kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu katika njia iliyonyooka ya Uislamu.
Habari ID: 3471464    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/14

TEHRAN- (IQNA)-Tarehe 27 Rajab Mwaka wa Tembo na akiwa na umri wa miaka 40, Mtume Muhammad (SAW) alikuwa juu ya kilele cha Mlima Hira, akijishughulisha na ibada ndani ya pango la mlima huo, ambapo ghafla malaika Jibril AS alimteremkia huku akiwa amebeba wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu SW.
Habari ID: 3470950    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24

Katika siku za kukaribia tarehe 27 Rajab Mohammad SAW alikuwa akienda katika pango la Hiraa na katika baadhi ya nyakati alikuwa akikaa siku kadhaa katikaeneo hilo. Alikuwa akimfahamisha mke wake mtiifu Khadija kuwa: ‘Wewe pia wafahamu mahaba na mafungamano yangu. Katika siku hizi nina hisia ya ajabu ya kupenda kumkumbuka Mola muumba, moyo wangu hautaki chochote isipokuwa hilo.’
Habari ID: 3303983    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/15

Tarehe 27 Rajab Mwaka wa Tembo na akiwa na umri wa miaka 40, Mtume Muhammad (SAW) alikuwa juu ya kilele cha Mlima Hira, akijishughulisha na ibada ndani ya pango la mlima huo, ambapo ghafla malaika Jibril AS alimteremkia huku akiwa amebeba wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu SW.
Habari ID: 1411465    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/27