IQNA – Nchi za Afrika zinaendelea kupata umaarufu mkubwa miongoni mwa wasafiri Waislamu, huku vivutio vya nchi za Magharibi vikizidi kupoteza mvuto wao kwa watalii hao.
Habari ID: 3480872 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/30
Waislamu Korea
IQNA - Kuna mipango ya mikahawa zaidi ya Hhalal na vyumba au kumbi za swala katika mji mkuu wa Korea Kusini kama sehemu ya juhudi za kuvutia watalii zaidi Waislamu.
Habari ID: 3478835 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17
Utalii
IQNA - Idadi ya watalii Waislamu wanaozuru Russia iliongezeka mwaka 2023 kwa asilimia 15 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hii ni kulingana na Huduma ya Takwimu nchini humo.
Habari ID: 3478244 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24
TEHRAN (IQNA) – Korea Kusini imetangaza mpango wa kuzinduliwa televisheni itakayojulikana kama ‘Halal TV’ kwa lengo la kuwavutia watalii Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3473152 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/09
TEHRAN (IQNA)-Kenya imeazimia kuimarisha utalii 'Halal' ambao unalenga kuwavutia watalii Waislamu kwa kutoa huduma ambazo zinazingatia mfundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3470962 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/30