IQNA - Iran inafikiria kutoa pendekezo la kuanzisha sekretarieti ya kimataifa kwa waandaaji wa mashindano ya Qur’ani Tukufu ya kimataifa ili kukuza ushirikiano kati ya nchi zinazohost mashindano hayo.
Habari ID: 3480184 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/09
IQNA – Uongozi wa Haram ya Imam Hussein (AS) (Astan) umetangaza Ayatullah Mkuu Abdollah Javadi Amoli, kiongozi mashuhuri wa kidini kutoka Iran, kuwa "Mtu wa Mwaka wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3480149 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/02
IQNA – Mashindano ya 10 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa wanajeshi yalianza rasmi Makkah siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3480145 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/02
IQNA – Mamlaka za Sweden zinasema mtu aliyedhalilisha Qu'rani Tukufu katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Ulaya mara kadhaa ameuawa.
Habari ID: 3480134 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/31
IQNA – Toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Port Said litaanza Ijumaa katika mji wa bandari wa Port Said, Misri.
Habari ID: 3480125 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/30
Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran:
IQNA – Kundi la kwanza la washiriki katika kitengo cha wanawake lilipanda jukwaani Jumamosi asubuhi kuonyesha ujuzi wao wa kusoma Qur’ani Tukufu katika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya 41 ya Iran.
Habari ID: 3480114 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29
IQNA – Mwakilishi wa Iraq katika kitengo cha kuhifadhi Qur’ani Tukufu kwenye Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya 41 ya Iran amesisitiza umuhimu wa kutekeleza mafundisho ya Kitabu Kitakatifu katika maisha ya kila siku.
Habari ID: 3480113 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29
IQNA - Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Algeria amesema ameridhishwa na utendaji wake kwenye tukio hilo la Qur’ani.
Habari ID: 3480101 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/26
IQNA - Hafla ilifanyika huko Algeria kuadhimisha mwaka wa 33 wa kuanzishwa kwa Redio ya Qur'ani Tukufu huko Algeria.
Habari ID: 3479109 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/12
IQNA - Kiswa, au kifuniko, cha Kaaba Tukufu kilibadilishwa katika maombolezo Muharram ya mapema ya Imamu Husein (AS) siku ya Jumapili.
Habari ID: 3479084 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/07
IQNA - Qur'ani Tukufu ni nyenzo "yenye nguvu" na "ishara tukufu " ambayo inaweza kuwasaidia wasomi kuunda au kurejea nadharia za kisayansi, mwanachuoni anasema.
Habari ID: 3479070 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05
Qur’ani Tukufu
Ni baraka za Mtume Muhammad (SAW) (Swalla Allaahu ´alayhi wa Ali wasallama) Mtoto
Habari ID: 3478998 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/22
Ifahamu Qur'ani Tukufu/6
TEHRAN (IQNA) – Taa zote zilizopo hapa duniani zitazimika siku moja. Hata jua halitaangaza tena siku ya kiama itakapokuja.
Habari ID: 3477138 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/12
TEHRAN (IQNA)-Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa na mtumwa Mwafrika nchini Marekani inaonyeshwa mjini Beirut Lebanon.
Habari ID: 3471069 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/16
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuhusu udharura wa umoja baina ya Waislamu ili kukabiliana na njama hatari za utawala haramu wa Israel za kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa katika Mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3349556 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21
Watu 183 waliosilimu na wanaoishi Qatar wamejisajilisha kushiriki katika mashindano ya kitaifa ya Qur’ani katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3313858 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13
Hafidh wa Qur'ani kutoka Nigeria
'Nyumba yangu ni Madrassah ya Qur'ani na tokea utotoni nimekuwa nikijifunza Qur'ani na nilianza kuihifadhi nikiwa na umri wa miaka 14' anasema Hafidh wa Qur'ani kutoka nchini Nigeria.
Habari ID: 3306135 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21
Kufuatia kuongezeka na kuenea malalamiko ya Wapalestina katika mji wa Quds (Baitul Maqdis) unaokaliwa kwa mabavu, Ghaza na Ukingo wa Magharibi hivi sasa Wapalestina wanaoishi katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu, yaani Israel, nao pia wameandamana.
Habari ID: 1471813 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/10