Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, hatua ya Marekani kurefusha vikwazo dhidi ya Iran kwa miaka 10 zaidi, bila ya shaka yoyote ni uvunjaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA.
Habari ID: 3470694 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matukio machungu na ya kusikitisha katika eneo na nafasi ya baadhi ya madola makubwa katika kulazimisha ukosefu wa uthabiti na vita katika mataifa.
Habari ID: 3470691 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, dhana iliyotawala kwamba Marekani ni nchi isiyoweza kushindwa, ilikuwa ni kosa kubwa na kwamba makosa ya kujirudia ya Marekani katika eneo yameifanya ishidwe.
Habari ID: 3470629 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema miongoni wa nukta muhimu za nguvu laini za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutoyaamini hata kidogo madola ya kibeberu, hasa Marekani.
Habari ID: 3470570 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asema mapatano ya nyuklia kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1 maarufu kwa kifupi JCPOA ni tajiriba inayoonesha kutokuwa na matunda wala faida kufanya mazungumzo na Marekani .
Habari ID: 3470486 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/01
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, mfumo wa kibeberu uliosimama juu ya msingi wa kutumia mabavu ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kijeshi.
Habari ID: 3470221 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/31