Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Basiji
        
        TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe wa maandishi kwa mnasaba wa Wiki ya Jeshi la Kujitolea la Basiji na kusema kuwa: Mabasiji mnapaswa kuwa watatuzi wa masuala yote ya nchi na ya taifa kwa kumtegemea na kutawakali kwa Mwenyezi Mungu, Mjuzi na Muweza wa kila siku.
                Habari ID: 3474596               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/11/25
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu  amesema Waislamu hawapaswi kuungana na kusimama pamoja wakati wa matukio fulani maalumu pekee, bali wanapaswa kushirikiana nyakati zote na kustawi pamoja, kwani hilo ni jambo la dharura.
                Habari ID: 3474468               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/10/24
            
                        Spika wa Bunge la Iran
        
        TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa vita vya vyombo vya habari vya maadui vimevizidi nguvu na kasi vita vya kiuchumi na kwamba hata maadui wa mapinduzi wananufaika na vita hivyo vya vyombo vya habari katika vita vyao vya kiuchumi dhidi ya mataifa mengine.
                Habari ID: 3474416               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/10/12
            
                        Sheikh Issa Qassim
        
        TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema moja kati ya mafanikio makubwa zaidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kuundwa mrengo wa muqawama au harakati za mapambano ya Kiislamu na kupata ushindi mrengo huo katika mapambando dhidi ya mfumo wa kibeberu.
                Habari ID: 3473978               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/06/04
            
                        Sayyid Hassan Khomeini
        
        TEHRAN (IQNA)- Ujumbe muhimu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ulikuwa ni kutoa wito kwa dunia ya sasa irejee katika umaanawi na maadili mema.
                Habari ID: 3473977               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/06/04
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Wafuasi wa dini mbali mbali nchini Iran siku chache zilizopita walijumuika katika maeneo yao ya ibada kuadhimisha mwaka wa 42 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
                Habari ID: 3473646               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/13
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa mkono wa pongezi na kheri kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na wananchi wa Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 42 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
                Habari ID: 3473641               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/11
            
                        Msemaji wa Harakati ya Nujaba
        
        TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Nujabaa ya Iraq amesema moja kati ya mafanikio makubwa zaidi ya Mapinduziya Kiislamu ya Iran ni kuwezesha kurejea Uislamu halisi duniani.
                Habari ID: 3473640               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/11
            
                        Rais Hassan Rouhani
        
        TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kusimama kidete wanachi wa Iran na tadbiri ya serikali ni mambo ambayo yalipelekea serikali iliyopita ya Marekani kushindwa katika sera za vikwazo na mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran."
                Habari ID: 3473639               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/10
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Sambamba na kutimia mwaka 42 tangu Mapinduzi ya Kiislamu yalipopata ushindi nchini Iran chini ya uongozi wa hayati Imam Ruhullah Khomeini, wananchi wa Iran tangu mapema leo asubuhi wameghariki katika sherehe za kuenzi na kuadhimisha tukio hilo ambazo mwaka huu zinafanyika kwa sura tofauti kutokana na sheria kali za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona.
                Habari ID: 3473638               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/10
            
                        Ayatullah Ramadhani
        
        TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (AS) amesema Imam Khomeini, Mwenyezi Mungu Amrehemu, alihuisha fikra ya Kiislamu ya kupinga ubeberu au ukoloni wakati ambao madola mengi ya kibeberu yalikuwa yanajaribu kusambaratisha kabisa fikra hiyo.
                Habari ID: 3473620               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/04
            
                        Msomi wa Malaysia
        
        TEHRAN (IQNA)- Msomi wa Kiislamu nchini Malaysia amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanaweza kuwa kigezo kwa ummah wa Kiislamu duniani katika mapambano dhidi ya udikiteta na ukosefu wa uadilifu.
                Habari ID: 3473617               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/03
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Miaka 42 iliyopita taifa kubwa la Iran huku likiwa limejizatiti kwa imani thabiti na matumaini ya kuwa na mustkabali mzuri, na bila ya kutegemea dola lolote lenye nguvu duniani, lilifanikiwa kuweka nyuma kipindi kigumu na muhimu kwenye historia yake na hatimaye kufanikiwa kufikia kwa kishindo ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
                Habari ID: 3473613               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/02/02
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aidha amezuru makaburi ya mashahidi wakuu watajika yaani Beheshti, Rajaei, Bahonar na mashahidi wa tukio la tarehe 7 mwezi Tir mwaka 1360 Hijria shamsiya na kumuomba Mwneyezi Mungu awainue waja wake hao.
                Habari ID: 3473607               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/01/31
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, mamilioni ya wananchi wa Tehran na miji mingine hapa nchini walifanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko ya barabarani na himaya ya madola ya Magharibi kwa machafuko hayo.
                Habari ID: 3473504               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/12/29
            
                        Mkuu wa zamani wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Ghana
        
        TEHRAN (IQNA) – Jerry Rawlings, Rais wa zamani wa Ghana ambaye amefariki hivi karibuni akiwa na umri wa miaka 73, alikuwa mwanasiasa Mkristo ambaye aliathiriwa na kuiga baadhi ya fikra za Mapinduzi ya Kiislamu.
                Habari ID: 3473388               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/11/24
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Tarehe 14 Khordad sawa na tarehe 3 Juni, kulitangazwa habari ya huzini ya kuaga duniani Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
                Habari ID: 3472831               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/06/03
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Maandamano makubwa ya 22 Bahman (11 Februari) katika kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yamepangwa kufanyika katika miji na vijiji 5,200 kote Iran.
                Habari ID: 3472453               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/02/09
            
                        AMIRI JESHI MKUU WA IRAN
        
        TEHRAN (IQNA) - Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuna ulazima wa Iran kuwa na nguvu katika pande zote hasa katika uga wa ulinzi; na akasisitiza kwamba: "Ni lazima kuwa na nguvu ili vita visiibuke na vitisho viishe."
                Habari ID: 3472451               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/02/08
            
                        Kiongozi  Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesem siri ya kuendelea kubakia hai na kuwa na mvuto fikra za Imam Khomeini MA, inatokana na sifa maalumu ya shakhsia na tunu aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
                Habari ID: 3471986               Tarehe ya kuchapishwa            : 2019/06/05