IQNA

Qari Muirani akisoma Qur'ani katika mji wa Hillah, Iraq + Video

Sayyid Muhammad Husaynipour, aliyeshinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alishiriki katika msafara wa Qur’āni wa Arbaeen mjini Hillah, Iraq. Hii hapa klipu yake akisoma Qur'ani Tukufu

4300828

Kishikizo: arbaeen ، qurani tukufu
Habari zinazohusiana