IQNA

Wafanyaziara wa Arbaeen wanaelekea Karbala kwa miguu kutoka mji wa kusini mwa Iraq

IQNA - Watu kutoka Ra's al-Bisha, wilaya ya kusini mwa Iraq, walianza safari yao ya miguu hadi Karbala kuashiria Arbaeen mapema Agosti 2024. Waumini hao wanatazamiwa kutumbea masafa ya kilomita 615 kuonyesha mapenzi yao kwa Imam Hussein (AS)
 
Kishikizo: arbaeen
Habari zinazohusiana