IQNA – Mawkib za Kiirani zilitoa huduma kwa zaidi ya watu milioni 22 wakati wa Arbaeen mwaka huu, kulingana na afisa mmoja.
Habari ID: 3481146 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/27
IQNA – Waandalizi wa msafara wa Qur’ani kutoka Iran wametangaza ongezeko la asilimia 5 katika shughuli za Qur’ani wakati wa ziyara na matembezi Arbaeen mwaka huu nchini Iraq ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Habari ID: 3481121 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/22
Sayyid Muhammad Husaynipour, aliyeshinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alishiriki katika msafara wa Qur’āni wa Arbaeen mjini Hillah, Iraq. Hii hapa klipu yake akisoma Qur'ani Tukufu
Habari ID: 3481115 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/21
QNA – Msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran, unaojulikana mwaka huu kama “Msafara wa Imam Ridha (AS)”, ulianza shughuli zake katika njia ya Arbaeen tarehe 8 Agosti 2025.
Habari ID: 3481109 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20
IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni 21 wameshiriki katika ziara ya Arbaeen mwaka huu nchini Iraq, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na haram ya Abul-Fadhlil Abbas (AS).
Habari ID: 3481093 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/16
IQNA – Uwezo wa kiustaarabu na wa kujenga taifa ulio ndani ya matembezi n a ziyara yakila mwaka ya Arbaeen unazidi kudhihirika kadiri siku zinavyosonga, amesema kiongozi mwandamizi wa kidini kutoka Iran.
Habari ID: 3481087 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15
IQNA – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kuwa wafanyaziara wa kigenizaidi ya milioni 4.1 wameshiriki katika ziara ya mwaka huu ya Arbaeen.
Habari ID: 3481086 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15
IQNA – Katika ziara ya Arbaeen, Waislamu hukusanyika kwa mshikamano ili kufikisha ujumbe wa pamoja wa kusimama imara na kudai haki, amesema afisa wa Kiirani.
Habari ID: 3481084 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/14
IQNA-Mamilioni ya Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia wamekusanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha Arbaeen au Arubaini ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3481083 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/14
IQNA – Kamati Kuu ya Iraq ya Uratibu wa Wafanyaziyara Mamilioni imetangaza kuwa hadi sasa hakuna ukiukaji wowote wa usalama ulioripotiwa wakati wa matembezi ya Arbaeen.
Habari ID: 3481082 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/14
IQNA – Mashindano ya 11 ya Kimataifa ya Arbaeen yametangaza rasmi mwaliko wa ushiriki katika nyanja mbalimbali za sanaa na fasihi.
Habari ID: 3481078 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/13
IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani amewataka wafanyaziyara wa Arbaeen kudumisha swala kwa wakati, ikhlasi ya moyo na na mavazi ya heshima na yenye staha katika safari yao tukufu: nguzo kuu ambazo amesema ndizo zenye kuhakikisha kukubaliwa kiroho na kupata thawabu za kudumu.
Habari ID: 3481075 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/12
IQNA – Qari kutoka Iran, Hamidreza Amadi-Vafa, amesema kuwa kusoma Qur’ani katika njia ya kutoka Najaf hadi Karbala wakati wa Arbaeen hujenga mazingira ya kiroho yasiyo na mfano katika nyakati nyingine za mwaka.
Habari ID: 3481073 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/12
IQNA – Maonyesho ya sanaa yenye maudhui ya Qur’ani yameandaliwa kando ya njia ya Ziyara ya Arbaeen ili kuonesha thamani za harakati ya Imam Hussein (AS) kupitia kazi za sanaa za kuona.
Habari ID: 3481066 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran amesema kuwa matembezi Arbaeen yanabeba kanuni muhimu ambazo zinaweza kusaidia kuweka msingi wa kustawishwa upya kwa ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3481064 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10
IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni tatu kutoka mataifa ya kigeni tayari wameingia Iraq kushiriki katika matembezi ya kila mwaka ya Arubaini, Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3481057 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09
IQNA – Gavana wa mkoa wa Karbala, Iraq, ametangaza kufanikiwa kuvuruga njama ya kigaidi iliyolenga wafanyaziyara wa Arbaeen katika eneo lake.
Habari ID: 3481054 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09
IQNA – Mwanaharakati mkongwe wa Qur’ani amesisitiza umuhimu wa msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran katika kueneza na kutambulisha sura ya Qur’ani ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3481051 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09
IQNA – Kundi la kwanza la wahudumu wa Qur'ani kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, walioko katika Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen, wamewasili Iraq mapema wiki hii na wameanza kufanya shughuli mbalimbali za Qur'ani katika mji mtukufu wa Najaf.
Habari ID: 3481044 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/06
IQNA – Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesisitiza juhudi za kila upande zinazofanywa na wizara yake ili kuwatumikia wafanyaziyara wanaoshiriki katika mjumuiko na matembezi ya Arbaeen mwaka huu na kuhakikisha usalama wao kikamilifu.
Habari ID: 3481042 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/08