Mkutano huo wa Umoja wa Kiislamu unahudhuriwa na maulamaa na wanafikra wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali.
Katika siku ya pili ya mkutano huo, hadhirina walijadili changamoto zinazoukabili umoja wa Kiislamu, mchango wa viongozi wa ngazi za juu wa kidini katika kufanikisha mshikamano wa Kiislamu na sisitizo la kuwepo mwamko wa Kiislamu. 340099