Kwa mujibu wa gazeti la Hurriyet la Uturuki, wakati wa kutafuta maneno makuu yaliyoombwa , mtambo huo tafutizi awali kabisa unawasilisha habari maelezo yanayohusiana na Uislamu.
Mtambo tafutizi huo unazuia misamiati inayokinzana na maadili ya Kiislamu.
Ibara ya" Mtambo Tafutizi Bora Zaidi Kuhusu Uislamu" inaonekana katika ukurasa mkuu wa mtambo huo.
Pato linalopatikana kutokana na matangazo ya biashara yanayowekwa katika mtambo tafutizi huo wa Kiislamu litatumika kuwasaidia Wapalestina.
Anwani ya intaneti ya mtambo tafutizi huo ni www.muslumangoogle.com. 348518