Lengo la kongamano hilo limetajwa kuwa ni kupata marifa kamili kuhusu taswira ya Waarabu na Waislamu katika fasihi mbalimbali duniani na kuweka wazi sababu zinazopelekea kuchafuliwa sura ya Waislamu na Waarabu.
Washiriki katika kongamano hilo watachunguza maudhui ya taswira ya Waarabu na Waislamu katika nchi za Magharibi, Ulaya, Asia, Afrika na America ya Latini na taathira za itikadi za mashariki katika taswira hiyo.
382460