Ekmeleddin Ihsanoglu amesema kwa kufahamu ipasavyo mafundisho ya Qur'ani Tukufu tunaweza kuelewa vyema jinsi kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu kinavyoongoza katika masuala ya kuheshimu haki za binadamu.
Ihsanoglu amesema Qur'ani Tukufu daima inasisitiza juu ya suala la kutoa misaada ya kibinadamu na kuwasaidia wanaohitajia na wasiojiweza katika jamii. 649098