Kwa mujibu wa gazeti la Daily Times, Muhammad Ilahi Bukhsh Muta, mwanakaligrafia mashuhuri wa Pakistan ndiye aliyesimamia kongamano hilo. Katika kongamano hilo Muta amewafundisha washiriki mbinu na njia za kufahamu kaligrafia ya Kiislamu na Qur'ani pamoja na kuwabainishia umuhimu wa sanaa hiyo katika nchi za Kiislamu na katika mashindano ya kimataifa. 660627