Kanisa la First United Methodist katika jimbo la Illinois nchini Marekani limeanza kutoa mafunzo ya Qur'ani Tukufu ikiwa ni katika juhudi za kusaidia kufahamika vyema kitabu hiki kitakatifu miongoni mwa Wamarekani, kufuatia wito wa kasisi mmoja mwenye chuki dhidi ya Uislamu wa kuchomwa moto kitabu hicho tarehe 11 Septemba.