Treni hiyo itatoa huduma kwa mahujaji na kusafirisha watu katika maeneo ya Mina, Arafat na Muzdalifa.
Treni hiyo itakuwa na uwezo wa kusafirisha mahujaji laki moja kwa saa baada ya kukamilika.
Treni hiyo itakamilika mwaka ujao na itakuwa na taathira kubwa katika kupunguza msongamano wa magari yanayosafirisha mahujaji katika maeneo matukufu ya Makka.
Awamu ya pili ya treni hiyo itaunganisha maeneo matakatifu na msikiti wa Makka. 694208