IQNA

Mkuu wa Idara ya Waislamu wa Caukazia, mshindi mtarajiwa wa tuzo ya amani ya Nobel

18:06 - December 14, 2010
Habari ID: 2048122
Ofisi ya Idara ya Waislamu wa Caukazia imetangaza kuwa kuna uwezekano mkuu wa idara hiyo huko Sheil-ul-Islam Allahshukur
Pashazade akachaguliwa kuwa mshindi wa tuzo na amani ya Nobel.
Shirika la habari la Interfax limeripoti kuwa sababu ya kuteuliwa Pashazade kuwa mshindi mtarajiwa wa tuzo ya amani ya Nobel ni juhudi zake za kurejesha amani katika jimbo la Chechnya, kuondoa hitilafu kati ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni na kubuni mpango wa kutoa zawadi ya damu kwa wanaohitaji katika siku za maombolezo ya mwezi wa Muharram. 712511
captcha