Kwa mujibu wa gazeti la Al Ray, warsha hiyo imefanyika kwa ushirikiano na Taasisi ya Saltus ni kuhudhuriwa na wataalamu wa uchumi na fiqhi ya Kiislamu. Aidha wawakilishi wa mashirika ya uwekezaji na benki za Kiislamu wameshiriki.
Kufafanua nafasi ya uchumi wa Kiislamu katika kutatua mgogoro wa kimataifa na kusisitiza nafasi ya banki za Kiislamu katika suala hilo ni moja kati ya malengo muhimu ya warsha hiyo.
Washiriki walijadili pia nafasi ya usimamizi wa kidini katika uendeshaji benki za Kiislamu. 737614