Wakuu wa vyama kadhaa vya kisiasa nchini Pakistan, viongozi, wa kidini na maafisa waliostaafu jeshini wanakutana Aprili 21 kwa lengo la kujadili vitendo vya kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu katika nchi za Magharibi na kutafuta njia ya kusitisha vitendo hivyo.