IQNA

Banki ya Kiislamu Dubai kushirikiana na Hilali Nyekundu ya Imarati

14:03 - June 02, 2011
Habari ID: 2132732
Banki ya Kiislamu ya Abu Dhabi imetiliana saini makubaliano na Hilali Nyekundi ya Umoja wa Falme za Kiarabu kwa lenge la kutoa misaada ya kielimu.
Mpango huo ni wa kuwasaidia wanafunzi waweze kulipa karo na inajumuisha Dirhamu 100 kwa kila mwanafunzi.
Makubaliano hayo yametiwa saini NI Dhafer Farooq Luqman wa Banki ya Kiislamu ya Abu Dhabi na Mohammad Ibhraim Al Hammadi naibu Mkuu wa Hilali Nyekundi ya Imarati.
Mara kwa mara Banki ya Kiislamu ya Abu Dhabi hutoa misaada kwa harakati za kijamii ikiwa ni pamoja na kuwafadhili vijana wanaotaka kufunga ndia na kutoa misaada ya kwa wanaohitajia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
802700
captcha