IQNA

Mazingira ya kimaanawi ya familia ni muhimu katika kuhifadhi Qur’ani

18:39 - September 14, 2011
Habari ID: 2186851
Wazazi wanapaswa kuandaa mazingira ya kimaanawi nyumbani na kutenga kiasi cha fedha ili kuwasaidia watoto wao kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Hayo ni kwa mujibu wa Murtadha Mohammadnejad mshindi wa kitengo cha hifdahi katika duru ya 28 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran.
Ameongeza kuwa mazingira mazuri ya kimaanawi katika familia hutoa mchango mkubwa kwa wale wanaohifadhi Qur’ani.
Kuhusu namna alivyohifadhi Qur’ani anasema: ‘Nilikuwa nahifadhi ukurasa moja kwa wiki, ingawa mbinu hii ilichukua mufa mrefu kuhifadhi Qur’ani nzima, lakini ilinipa fursa ya kurudia na kujitathmini’.
857933
captcha