IQNA

Toleo la pili la jarida la 'Sauti ya Qur'ani' latolewa Karbala

21:20 - October 06, 2012
Habari ID: 2426453
Toleo la pili la jarida la Sauti ya Qur'ani lilalochapishwa na Darul Qur'ani al-Karim inayofungamana na Idara ya Haram ya Imam Hussein (as) mjini Karbala limetolewa.
Toleo hilo linajadili masuala muhimu kama vile Ahlul Bait (as) katika aya ya Mawadda, udugu, usawa, takuwa katika mtazamo wa Qur'ani na nafasi ya usalama katika Qur'ani Tukufu.
Sauti ya Qur'ani ni moja ya majarida ya kitaalamu na kielimu yanayojishughulisha na masuala tofauti ya utafiti katika Qur'ani Tukufu. 1113668
captcha