IQNA

TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuanza Muharram, mwezi wa kwanza wa Hijria Qamari , hafla maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS zinafanyika katika mji mkuu wa Iran, Tehran na miji mingine kote Iran.

Picha hizi hapa ni za maombolezo yaliyofanyika katika Medani ya Imam Hussein AS mjini Tehran kwa kuzingatia kanuni za kiafya wakati huu wa janga la COVID-19.