IQNA

Washindi wa Mashindano ya 2020 ya Picha za Mandhari

21:58 - November 25, 2020
Habari ID: 3473393
TEHRAN (IQNA) – Mshindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Mpigapicha Bora wa Mandhari mwaka 2020 ametangazwa.

Picha 3,800 ziliwasilishwa katika mashidano ya mwaka huu. Waandalizi wamezingatia masuala ya maudhui, mahala na mtindo wa upigaji picha. Mpiga picha Kelvin Yuen mwenye umri wa miaka 24 kutoika Hong Kong ametangazwa mshini wa mwaka huu.

Zifuatazo ni baadhi ya picha katika mashindano ya mwaka huu.

 
 
Kishikizo: mandhari ، picha
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha