Rais Ebrahim Raisi katika Picha
IQNA - Taifa la Iran linaomboleza kufuatia kufa shahidi katika ajali ya helikopta jana Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje, Hujjatul Islam wal Muslimin Al Hashem, mwakilishi wa Waliul Faqih katika Mkoa wa Azabajan Mashariki, Malik Rahmati, Gavana wa Azabajani Mashariki na wote waliokuwa katika msafaraha huo.