TEHRAN (IQNA)-Tarehe tisa Shawwal  ni kumbukizi  ya namna Mawahhabi walivyombomoa  makaburi ya Ahul Bayt wa Mtume SAW ya Jannatul Baqii katika mji mtakatifu wa Madina takribani miaka 96 liyopita.
                Habari ID: 3475232               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/05/10
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) Jumatano tarehe nane Shawwal 1440 Hijria, sawa na tarehe pili Juni 2019 ni kumbukumbu ya Mawahhabi kubomoa makaburi ya Ahul Bayt wa Mtume SAW ya  Jannatul Baqii katika mji mtakatifu wa Madina takribani miaka 97 iliyopita.
                Habari ID: 3471999               Tarehe ya kuchapishwa            : 2019/06/13