iqna

IQNA

kizayuni
Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo ya simu aliyofanya na Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad bin Khalifa Al Thani kwamba, leo taifa la Palestina linahitaji zaidi uungaji mkono athirifu wa walimwengu na hasa wa nchi za Kiislamu kuliko wakati wowote ule.
Habari ID: 3477809    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya kuanza tena ibada ya Hija baada ya amali hiyo kuvurugwa kwa miaka miwili na janga la Corona. Amesema, "hii ni baraka kubwa kwani ibada hii ni nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu."
Habari ID: 3475348    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08

Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel umezingirwa na wanamapambano wa Kiislamu walioko Palestina, Lebanon, Iraq na Yemen.
Habari ID: 3475212    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06

TEHRAN (IQNA)- Harakati za Palestina za Hamas na Jihad ya Kiislamu zimelaani mkutano waliofanya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Naqab.
Habari ID: 3475084    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/28

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuunga mkono ukombozi wa taifa la Palestina.
Habari ID: 3475083    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/28

Siku ya Wanawake Duniani
TEHRAN (IQNA)- Leo tarehe 8 Machi inatambuliwa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Pamoja na kuwa wanawake maeneo mengi duniani wanasherehekea siku hii kwa shangwe, huko Palestina hali ni tofauti kwani wanawake wanuawa kiholela na jeshi la utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475021    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/08

TEHRAN (IQNA)- Umepita mwaka mmoja tangu kulipotiwa saini makubaliano baina ya utawala haramu wa Israel na nchi mbili za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain, ambapo mataifa hayo ya Kiarabu yaliafiki kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474304    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17

TEHRAN (IQNA)- Katika safari yake ya kwanza nchini Morocco tangu nchi hiyo ya Kiafrika ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala huo ghasibu amefungua rasmi ofisi za ubalozi wa utawala huo mjini Rabat.
Habari ID: 3474185    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/13

TEHRAN (IQNA)- Mwaka huu hakutafanyika maandamano au mijumuiko ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran kutokana na janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473872    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/03

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa tena suala la kuanzishwa uhusiano baina ya Imarati na utawala ghasibu wa Israel na kusisitiza kuwa: Jambo lililofanywa na kawaida kwa uhusiano huo ni kubinya shingo la Wapalestina kwa goti la Wazayuni.
Habari ID: 3473132    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/03

TEHRAN (IQNA) - Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
Habari ID: 3473017    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa katika oparesheni dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
Habari ID: 3471066    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wapalestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wapalestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02

IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana ya Sala ya Alfajiri katika misikiti mitatu iliyo katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470658    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06

Kamandi ya Majeshi yote ya Iran imetoa wito kwa wote katika ulimwengu wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa hii.
Habari ID: 3470419    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28

Mamia ya Wapalestina wameandamana katika Ukanda wa Ghaza kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3470303    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/09

Jamii ya kimataifa imeingiwa na wasiwasi kutokana na kushahidi jinai za utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3470299    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07

Viongozi waandamizi wa utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel wamezidi kuonesha ukatili wao baada ya kushindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds
Habari ID: 3470237    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/09

Walowezi wa Kizayuni wasiopungua 1,000 waliokuwa wakisindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel wamevamia na kulivunjia heshima kaburi la Nabii Yusuf (AS), ziara linaloheshimiwa na Wayahudi, Wakristo na Waislamu.
Habari ID: 3470234    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/08

Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel aktika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470186    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08