iqna

IQNA

Mafunzo ya maalumu kuhifadhi na kusoma (tajwid) Qur'an Tukufu yamefanyika katika Visiwa vya Comoro kwa kuhudhuriwa nawanafunzi takribani 100.
Habari ID: 3470235    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/09