CODIV-19
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa(UN( na Umoja wa Afrika (AU) kwa pamoja zimelaani "ubaguzi" ambao baadhi ya nchi za kusini mwa Afrika zimekuwa zikikabiliwa nao tangu kugunduliwa aina mpya ya kirusi kipya cha COVID-19 ijulikanayo kama Omicron nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3474633 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/03
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameweka bayana dhimira ya Umoja wa Mataifa ya kutaka kuvishinda vita dhidi ya janga la virusi vya corona au COVID-19 kwa kujikita na mambo matatu muhimu ambayo ni kufikia usitishwaji wa uhasama kimataifa, kuwasaidia wale wasiojiweza na kujiandaa kujikwamua kiuchumi na kijamii kutoka kwenye janga hili.
Habari ID: 3472723 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/01