TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyanufaisha mataifa mengine uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa corona au COVID- 19.
Habari ID: 3472725 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/02