TEHRAN (IQNA)- Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza kaligrafia ya Kiislamu na Kiarabu katika orodha yake ya mwaka 2021 ya Turathi za Kiutamaduni za Mwanadamu.
Habari ID: 3474684 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17
TEHRAN (IQNA) –Dereva wa taxi katika eneo la Hyderabad nchini India amefanikiwa kuandika nakala nzima ya Qur’ani kwa mkono katika kipindi cha miezi sita wakati wa zuio la kutotoka nje ya nyumba kufuatia kuibuka janga la corona.
Habari ID: 3473223 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/02
TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Libya amefanikiwa kuandika Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa maandishi ya kaligrafia .
Habari ID: 3472863 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13