iqna

IQNA

IQNA – Tamasha la 13 la Kimataifa la Kaligrafia ya Kiarabu nchini Algeria limefanyika katika mji wa al-Madiya, likiwa limejumuisha wana kaligrafia kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu.
Habari ID: 3480700    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18

IQNA – Mwana kaligrafia kutoka Bahrain amesema kuwa wazo lake la kuandika Qur'ani kwa mkono limeongeza idadi ya watu wanaovutiwa na sanaa ya kaligrafia ya Kiarabu.
Habari ID: 3480603    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/27

IQNA – Maonyesho ya Kaligrafia ya Qur'ani na Mashairi ya Kiarabu, yaliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Iran mjini Jeddah, yamefunguliwa rasmi katika mji huo wa bandari wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3480576    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21

Utamaduni wa Qur'ani
IQNA-M kaligrafia wa Libya, Al-Sharif Al-Zanati, amefanikisha ndoto yake ya maisha ya kuandika Qur'ani Tukufu kwa mkono, licha ya changamoto za kibinafsi na kitaaluma.
Habari ID: 3480498    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/05

IQNA – Mtaalamu wa Sanaa ya kung'arisha (illumination) kutoka Algeria amesema Iran ndiyo mamlaka kuu juu ya sanaa za Kiislamu, akiongeza kuwa nchini Algeria, vitabu vingi vya sanaa vya Kiirani vinatumika kufundishia na kufanya mazoezi ya sanaa za mapambo.
Habari ID: 3480350    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/11

Qur'ani Tukufu
IQNA - Nakala za Qur'ani iliyoandkwa kwa maandishi ya mtindo wa kaligrafia ya Uthman Taha itachapishw nchini Iraq kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3479886    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10

Turathi
IQNA - Chuo Kikuu cha Warith Al-Anbiyaa katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kinapanga kuandaa warsha za kuandika Qur’ani Tukufu kwa mkono.
Habari ID: 3479744    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13

Utamaduni
IQNA - Maonyesho yanayoangazia maandishi ya kaligarafia ya Qur'ani Tukufu yamefunguliwa katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad. Waziri wa Utamaduni, Utalii na Mambo ya Kale wa Iraq alizindua maonyesho maalum ya maandishi ya  kaligrafia ya Qur'ani Jumatatu, Oktoba 21.
Habari ID: 3479634    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

Utamaduni wa Qur'ani
IQNA - Hassan Al-Bakouli, mwandishi wa kaligrafia wa Yemen, anasema alipokea idhini ya kunakili Msahafu wa Uthman Taha, mwandishi maarufu wa aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479627    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21

IQNA - Mwandishi wa kaligrafia wa Syria Ubaidah Muhammad Salih Al-Banki alielezea amesema kuwa na fursa ya kuandika kaligrafia Mus’haf (Msahafu) kama baraka ya Mwenyezi Mungu na chanzo kikubwa cha heshima.
Habari ID: 3478839    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17

Sanaa katika Uislamu
IQNA - Mwandishi kaligrafia nchini Iran ambaye ni mtaalamu wa uandishi wa maandishi ya kidini, hususan aya za Qur'ani Tukufu, amebainisha wasiwasi kuhusu kupungua kwa idadi ya watu wanaojifunza kaligrafia ya Qur'ani.
Habari ID: 3478710    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/21

Utamaduni wa Kiislamu
IQNA - Mwandishi wa kaligrafia kutoka Misri ambaye amekamilisha uandishi wa Qur'ani Tukufu anasema kufikia mafanikio haya ni ndoto ya kila mwana kaligrafia Muislamu.
Habari ID: 3478235    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Utamaduni wa Kiislamu
IQNA - Msahafu ambao umeandikwa na wana kaligrafia kadhaa wa kike wa Iran umezinduliwa katika mji wa Qom, Iran.
Habari ID: 3478187    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/12

Utamaduni
IQNA - Msichana mdogo katika eneo la Kashmir linalotawaliwa na India amesifiwa kwa kazi yake ya kaligrafia ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478030    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mwandishi wa kaligrafia kutoka India Yusuf Husen Gori ameonyesha baadhi ya kazi zake kwenye Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3476856    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/12

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /7
TEHRAN (IQNA) - Saher al-Kabi ni mwandishi wa kisasa wa Palestina ambaye kazi zake nyingi zina maandishi matakatifu ambapo kaligrafia ya Msahafu wa Msikiti wa Al-Aqsa Mus'haf ni shughuli yake kuu ya kisanii katika kutumikia Qur'ani Tukufu na Uislamu.
Habari ID: 3476150    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26

Sanaa ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la kimataifa kuhusu orthografia wa Qur'ani limezinduliwa katika mji mkuu wa Libya wa Tripoli siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475949    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza kaligrafia ya Kiislamu na Kiarabu katika orodha yake ya mwaka 2021 ya Turathi za Kiutamaduni za Mwanadamu.
Habari ID: 3474684    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17

TEHRAN (IQNA) –Dereva wa taxi katika eneo la Hyderabad nchini India amefanikiwa kuandika nakala nzima ya Qur’ani kwa mkono katika kipindi cha miezi sita wakati wa zuio la kutotoka nje ya nyumba kufuatia kuibuka janga la corona.
Habari ID: 3473223    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/02

TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Libya amefanikiwa kuandika Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa maandishi ya kaligrafia .
Habari ID: 3472863    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13