TEHRAN (IQNA) - Jumatano Wapalestina walifanya maandamano makubwa dhidi ya utawala haramu wa Israel chini ya anuani ya ‘Siku ya Hasira’ maandamano ambayo yaliungwa mkono kimataifa.
Habari ID: 3472923 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/02
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema nchi yake inapinga hatu aya utawala wa Kizayuni wa Israel kuteka eneo zaidi la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472919 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01
TEHRAN (IQNA) –Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina (Hamas) amependekeza mfumo mpya wa uongozi wenye kujumuisha wote ili kupatikane umoja wa kitaifa Palestina.
Habari ID: 3472914 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30
TEHRAN (IQNA)- Israel inashinikizwa na jamii ya kimataifa isitishe mpango wake wa kupora maeneo zaidi ya Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472895 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/24
TEHRAN (IQNA) –Mamia ya watu wameshiriki katika maandamano mjini Amsterdam Uholanzi Jumapili na kutangaza kuunga mkono Wapalestina huku wakipinga mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel kupora ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472865 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/15
TEHRAN (IQNA) - Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan ameutahadharisha utawala wa Israel kuwa utaraji mapigano makubwa iwapo utasonga mbele na mpango wake wa kuteka zaidi ardhi za Palestina katika Ukingo wa Magharibi na Bonde la Jordan.
Habari ID: 3472774 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/17