iqna

IQNA

IQNA – Kampeni mpya ya kimataifa ya Qurani kwa jina “ Fath ” imezinduliwa kwa lengo la kuinua morali ya majeshi ya Kiislamu na kueneza maadili ya Qurani ndani ya jamii, hasa kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya Iran.
Habari ID: 3480957    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/17

TEHRAN (IQNA) - Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina za Fat'h na Hamas zimeunga mkono tangazo la Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuhusu kufanyika uchaguzi wa bunge la rais baadaye mwaka huu.
Habari ID: 3473561    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/16

TEHRAN (IQNA) – Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina za Hamas na Fat'h zimesisitiza kuhusu umoja wa kitaifa za Wapalestina ili kukabiliana na adui mvamizi na ghasibu pamoja, yaani Israel na njama zake ikiwemo ya 'Muamala wa Karne'
Habari ID: 3472925    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/03