TEHRAN (IQNA)- Makundi ya kutetea haki za binadamu yameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe hujuma zake za kijeshi dhidi ya Ukanda wa Ghaza na uwalipe fidia wakulima uliowaharibia mashamba yao.
Habari ID: 3473356 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/13