Jinai za Israel
IQNA- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeapa kuendeleza mashambulizi yake dhidi ya utawala haramu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea watu wa Ukanda wa Gaza, ambao wanaendelea kuuawa kikaktili katika mauaji ya kimbari ya Israel, ikisisitiza kwamba ukatili wa hivi karibuni wa utawala huo ulioua watu kadhaa nchini Lebanon utaimarisha azma yake ya kuendeleza njia ya mapambano na muqawama.
Habari ID: 3479452 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/18
Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya maafisa wa Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) wamefanya ziara ya siri kwa wakati mmoja na Mike Pompeo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani.
Habari ID: 3473385 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23