TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kauli aliyotoa waziri wa biashara, viwanda na utalii wa Bahrain kuhusu azma ya nchi yake ya kununua bidhaa zinazozalishwa katika vitongo ji vya walowezi wa Kizayuni kwenye Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473421 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04