Harakati za Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika katika Radio au Idhaa ya Qur'ani ya Misri huko Cairo kusherehekea kumbukumbu ya miaka 60 ya kuanzishwa kwa kituo hicho cha redio
Habari ID: 3478725 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/24
TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Tunisia wameandamana katika mji mkuu Tunis, kulaani uamuzi wa kuifunga Radio ya Qur’an nchini.
Habari ID: 3473436 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08