IQNA – Haram ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, Iran, inajiandaa kwa mfululizo wa sherehe na huduma nyingi wakati wa ‘Wiki ya Karamat’, kipindi cha kusherehekea kuzaliwa kwa Imam Ridha (AS) na dada yake, Hadhrat Masoumah (SA).
Habari ID: 3480611 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/29
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ali AS mjini Najaf, Iraq ambapo wanaohudumu katika eneo hilo takatifu wametangaza utiifu wao kwa Imam Ali AS.
Habari ID: 3474135 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/28