ayatullah khamenei - Ukurasa 12

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tunapaswa kutumia uzoefu wa mazungumzo ya nyuklia yaliyothibitisha kuwa Marekani haiwezi kuaminika na hivi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ichukue mkondo wake wa ustawi.
Habari ID: 3470356    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njia pekee ya kuufanya Mfumo wa Kiislamu udumu na kupiga hatua mbele na kufikiwa malengo ya Mapinduzi ni 'nchi kuwa na uwezo halisi' na kutekelezwa 'jihadi kubwa', yaani kutomtii adui.
Habari ID: 3470340    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama kidete, kutomfuata adui na kulinda utambulisho wa kimapinduzi na Kiislamu ni sababu kuu za kuwa na nguvu mfumo wa Kiislamu na taifa la Iran na kwamba, Marekani na madola mengine makubwa yamekasirishwa mno na jambo hili.
Habari ID: 3470334    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amemzawadia Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei nakala ya kale ya Qur'ani inayonasibishwa na Imam Ali Ali AS.
Habari ID: 3470333    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema nchi za Waislamu zinapaswa kupewa jukumu la vita dhidi ya ugaidi kwani ugaidi unanasibishwa kimakosa na Uislamu.
Habari ID: 3470332    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Habari ID: 3470323    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumatano ameonana na washiriki wa Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaliyomalizika jana hapa mjini Tehran na kusema kuwa, Qur'ani ndio mhimili wa umoja wa umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3470319    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito kwa wasomi wa kidini kushiriki kilamilifu katika mambo yote yanayohusu nchi na jamii
Habari ID: 3470313    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, usalama katika jamii una nafasi muhimu katika ustawi wa kiuchumi.
Habari ID: 3470301    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, jukumu muhimu kabisa la Umma wa Kiislamu ni kukabiliana na harakati ya ujahiliya inayoongozwa na Marekani.
Habari ID: 3470295    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitizia umuhimu wa kuendelezwa uhusiano imara na usioweza kuathiriwa na vikwazo na uhasama wa Marekani baina ya Iran na Korea Kusini.
Habari ID: 3470289    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia wajibu wa kulelewa kizazi cha vijana wa Iran katika msingi wa kuwafanya wajitegemee na wapende kuwa na heshima ya kidini na kusimama imara kupambana na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470287    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03